Home Mchanganyiko RAIS DK SHEIN AKUTANA NA WAJUMBE WA BARAZA LA BIASHARA ZANZIBAR IKULU

RAIS DK SHEIN AKUTANA NA WAJUMBE WA BARAZA LA BIASHARA ZANZIBAR IKULU

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua kikao cha Baraza la Biashara Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi .Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee  na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biahara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salkum Ali na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa

KATIBU Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Ndg. Juma Hassan Reli na Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar. Mhe. Hassan Khamis Hafidh wakiwa na baadhi ya Wakuu wa Wizara za SMZ wakifuatilia mkutano huo wa Baraza la Biashara Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibaer.

WAJUMBE wa Baraza la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein. (hayupo pichani) akizungumza wakati wa mkutano huo  uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

BAADHI ya Viongozi wa Serikali wa kwanza Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Said Hassan Said, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Mohammed Aboud Mohammed  na Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum Mhe. Juma Ali Khatib, wakifuatila taarifa katika makabrasha yao wakati ikiwasilishwa katika mkutano wa Baraza la Biashara Zanzibar na Katibu Mtendaji Baraza la Biashara Zanzibar Ndg. Bakari Ali Bakari  (hayupo pichani) 

BAADHI ya Wakuu wa Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatila kikao cha mkutano wa Baraza la Biashara Zanzibar  uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)