Home Mchanganyiko MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA AJIRA NCHI...

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA AJIRA NCHI ZA SADC

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa Mawaziri wa Sekta ya kazi, Ajira na Wadau wa Utatu wa Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo March 04,2020.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua  Mpango maalum wa Mafunzo kwa Vitendo  katika sehemu ya kazi kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Sekta ya kazi, Ajira na Wadau wa Utatu wa Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo March 04,2020.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionesha   Mpango maalum wa Mafunzo kwa Vitendo  katika sehemu ya kazi mara baada ya kuzindua mpango huo katika  Mkutano wa Mawaziri wa Sekta ya kazi, Ajira na Wadau wa Utatu wa Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo March 04,2020.kushoto Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama kulia katibu Mtendaji wa jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Dr. Stergomena Tax na Waziri wa Kazi Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi  Zanzibar Mhe. Mouldine Castico.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Tuzo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB Abdulmajid Nsekela kwa kutambua mchango wake wa Udhamini kwa Vijana katika Mpango Maalum wa Mafunzo Sehemu ya kazi  kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Sekta ya kazi, Ajira na Wadau wa Utatu wa Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo March 04,2020.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Cheti  kwa Agatha Masola kati ya Vijana 20 wanaoendelea na  Mpango Maalum wa Mafunzo Sehemu ya kazi  wakati wa Mkutano wa Mawaziri wa Sekta ya kazi, Ajira na Wadau wa Utatu wa Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo March 04,2020. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Sekta ya kazi, Ajira na Wadau wa Utatu wa Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo March 04,2020.

 (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)