Home Mchanganyiko TUKIO LA UZINDUZI WA VIPINDI

TUKIO LA UZINDUZI WA VIPINDI

0

Mhe. Jaji (Mst) Harold Nsekela, Kamishna wa Maadili (wa kwanza kulia) akifungua vipindi vya elimu ya maadili kupitia kituo cha redio Abood FM cha mjini Morogoro hivi karibuni. Katikati ni Mtangazaji wa kituo hicho Bw. Zuberi
Mkaraboko na mwenye koti jeusi ni Bw. Seleman Shabani, Afisa wa Sekretarieti ya Maadili Kanda ya Mashariki, Morogoro