Home Mchanganyiko MAJALIWA AKAGUA UKARABATI WA DARAJA LILILOSOMBWA NA MAJI NA KUKATA MAWASILIANO KATI...

MAJALIWA AKAGUA UKARABATI WA DARAJA LILILOSOMBWA NA MAJI NA KUKATA MAWASILIANO KATI YA MOROGORO NA DODOMA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kazi ya ukarabati wa daraja la Kiyegeya  lililopo  eneo la Gairo ambalo limesombwa na maji   na kusababisha kukatika kwa mawasiliano kati ya Morogoro na Dodoma, Machi 4, 2020. Wa pili kulia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi  Isack Kamwelwe.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kazi ya ukarabati wa daraja la Kiyegeya  lililopo  eno la Gairo ambalo limesombwa na maji   na kusababisha kukatika kwa mawasiliano ya barabara kati ya Morogoro na Dar es salaam, Machi 4, 2020. Kushoto ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi  Isack Kamwelwe. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kazi ya ukarabati wa daraja la Kiyegeya lililopo eneo la Gairo  ambalo llimesombwa na maji  na kusababisha kukatika kwa mawasiliano  ya barabara ya barabara kati ya Morogoro na Dodoma, Machi 4, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipita kwenye msururu wa magari  yaliyokwama baada ya daraja la Kiyegeya kusombwa  na maji na kusababisha kukatika kwa mawasiliano ya barabara  kati ya Morogoro na Dodoma, Machi 4, 2020. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapa pole baadhi ya madreva na abiria waliokwama baada ya daraja la Kiyegeya  kusombwa na maji na kusababisha  kukatika  kwa  mawasiliano ya barabara kati ya Morogoro na Dodoma, Machi 4, 2020. 

Eneo la daraja la Kiyegeya  ambalo lilisombwa na maji na kusababisha kukatika kwa mawasiliano ya barabara kati ya Morogoro na Dodoma , ukarabati wake unaendelea. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)