Meneja wa Idara ya Masoko ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania BoT Bw. Lameck Kakulu akiwasilisha mada ya mwitikio wa wawekezaji kuwekeza kwenye Kwenye Dhamana za Serikali katika semina ya waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari mbalimbali inayoendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa BoT tawi la Arusha.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari mbalimbali wakimsikiliza Meneja wa Idara ya Masoko ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania BoT Bw. Lameck Kakulu wakati akiwasilisha mada ya mwitikio wa wawekezaji kuwekeza kwenye Kwenye Dhamana za Serikali katika semina hiyo.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari mbalimbali wakifuatilia madailiyokuwa ikitolewa na Meneja wa Idara ya Masoko ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania BoT Bw. Lameck Kakulu wakati akiwasilisha mada ya mwitikio wa wawekezaji kuwekeza kwenye Kwenye Dhamana za Serikali katika semina hiyo.