Home Siasa MBUNGE MWINGINE WA JIMBO LA OLE KWA TIKETI YA CUF AOMBA KUJIUNGA...

MBUNGE MWINGINE WA JIMBO LA OLE KWA TIKETI YA CUF AOMBA KUJIUNGA NA CCM

0

………………………………………………………………………………………………………

Akiwa katika Mkutano Mkuu wa CCM wa Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba Zanzibar Ndugu Humphrey Polepole amepokea maombi ya kujiunga na CCM ya Mbunge mwingine wa CUF Ndugu Juma Hamad Omari Mbunge wa Jimbo la Ole.