Home Michezo MECHI ZA SERIA A KUCHEZWA BILA MASHABIKI WEEKEND HII

MECHI ZA SERIA A KUCHEZWA BILA MASHABIKI WEEKEND HII

0

************************

Bodi ya Ligi kuu ya Italia kwa ushirikiano na Mamlaka ya huduma ya Afya nchini Italia zime lazimika kuzuia mashabiki kuingia viwanjani katika mechi za weekend hii

Mechi hizo ikiwemo ile ya jumapili kati ya JUVENTUS vs INTER MILAN

Pamoja na AC MILAN vs GENOA kutokana na hofu juu ya ugonjwa wa Corona.