Home Mchanganyiko RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MWAKILISHI WA KANSELA WA UJERUMANI ANAYESHUGHULIKIA MASUALA...

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MWAKILISHI WA KANSELA WA UJERUMANI ANAYESHUGHULIKIA MASUALA YA AFRIKA  NA PROFESA PLO LUMUMBA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia masuala ya Afrika Bw. Guenter Nooke alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24.  2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na  Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia masuala ya Afrika
 Bw. Guenter Nooke alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24.  2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia masuala ya Afrika
Bw. Guenter Nooke baada ya kukutana na  kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24.  2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia masuala ya Afrika
 Bw. Guenter Nooke na ujumbe wake alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24. 2020. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Balozi Kanali Ibuge

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia zawadi ya kinyago cha Umoja Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia masuala ya Afrika Bw. Guenter Nooke alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24.  2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwamini wa Muunganiko wa Bara la Afrika kutoka Kenya Msomi na Mwanamajumui
(Pan-Africanist) Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba (
Maarufu zaidi kama Profesa PLO Lumumba)  alipokutana na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24.  2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwamini wa Muunganiko wa Afrika kutoka Kenya Msomi na Mwanamajumui (Pan-Africanist)   Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu zaidi kama Profesa PLO Lumumba)  alipokutana na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24.  2020.
Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Madini Profesa Simon Msanjila

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia zawadi ya kinyago cha Umoja
Mwamini wa Muunganiko wa Afrika kutoka Kenya Msomi na Mwanamajumui (Pan-Africanist) Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu zaidi kama Profesa PLO Lumumba) alipokutana na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24.  2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Mwamini wa Muunganiko wa Afrika kutoka Kenya Msomi na Mwanamajumui
(Pan-Africanist) Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu
zaidi kama Profesa PLO Lumumba) baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24.  2020.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwamini wa Muunganiko wa
 Afrika kutoka Kenya Msomi na Mwanamajumui
(Pan-Africanist)  Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu
zaidi kama Profesa PLO Lumumba)
baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24.  2020.

PICHA NA IKULU