Home Mchanganyiko “Maji ya Ziwa Victoria Kufika Tabora sio ndoto tena, ni kweli tumeyaona”...

“Maji ya Ziwa Victoria Kufika Tabora sio ndoto tena, ni kweli tumeyaona” Wananchi wa Tabora

0

Mkurugenzi wa Idara ya Usambazaji Maji, Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Kemikimba akipanda katika tanki la maji la Ushirika wilayani Igunga kujionea kiwango cha msukumo wa maji. Tanki hilo lina uwezo wa kutunza maji lita milioni 2.5 na linatosha kuhudumia mji wa Igunga na pembezoni.

.

Moja ya tanki la kuhifadhi maji kwa ajili ya huduma kwa wananchi wa Nzega.

Mkazi wa wilayani Nzega, Mkoa wa Tabora akichota maji kutoka ziwa Victoria katika moja ya vibanda vilivyojegwa maalum kwa huduma ya maji kwa wananchi.

Maji: Moja ya vibanda vya kutoa huduma ya maji kwa jamii mkoani Tabora, katika mradi mkubwa wa maji wa Tabora-Igunga-Nzega. Chanzo cha maji ni ziwa Victoria.