Home Siasa MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA MKOA WA KAGERA

MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA MKOA WA KAGERA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kagera Costancia Buhiye, wakati akiwasili katika uwanja wa ndege wa Bukoka, katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali, Marco Gaguti Februari 20, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Viongozi na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya (CCM) Mkoa wa Kagera, kwenye ukumbi ELCT Bukoba Hotel, Februari 20, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)