Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo mbili Julai-Disemba2019 kilichofanyika leo katika ukumbi Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 19/02/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo mbili Julai-Disemba2019 kilichofanyika leo katika ukumbi Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 19/02/2020.
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee (kulia) alipokuwa akiuliza suala katika kikao cha Utekelezaji wa mpango kazi wa kipindi cha robo mbili Julai-Disemba 2019 cha Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (katikati) Waziri wa Elim na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma na Naibu Waziri Simai Mohamed Said (kushoto) [Picha na Ikulu]19/02/2020.
Mkurugenzi wa Maktaba Kuu Zanzibar Sichana Haji Foum alipokuwa akisisitiza jambo wakati akichangia katika kikao cha Utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 cha Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) [Picha na Ikulu]19/02/2020.
Baadhi ya Maafisa katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara hiyo leo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji mpango kazi kwa kipindi cha robo mbili Julai-Disemba 2019 kilichofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini zanzibar,[Picha na Ikulu] 19/02/2020.