Home Siasa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Yapongezwa Uandaaji Bajeti

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Yapongezwa Uandaaji Bajeti

0

Kaimu Kamishna wa Fedha za Nje toka Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Robert
Mtengule akiongoza kikao cha mapitio ya Bajeti ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
(ORPP) leo jijini Dodoma.

Mkuu wa Kitengo cha Mipango, Ufuatiliaji na Tathmini Ofisi ya Masajili wa Vyama
vya Siasa, F. Mazone akizungumza wakati wa kikao cha mapitio ya Bajeti ya Ofisi ya
Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) leo jijini Dodoma. Kulia ni Kaimu Kamishna wa
Fedha za Nje toka Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Robert Mtengule.

Afisa Usimamizi wa Fedha(FMO) kutoka Wizara ya Fedha na Mipango,Bw. Ezekiel
Odipo ambaye pia ni Msimamizi wa Dawati la Bajeti ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya
Siasa akichangia mada wakati wa kikao cha mapitio ya Bajeti ya Ofisi ya Msajili wa
Vyama vya Siasa (ORPP) leo jijini Dodoma.

Baadhi ya wajumbe Kikao cha Mapitio ya Bajeti ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya
Siasa ya Mwaka 2020/2021 toka ofisi hiyo wakifuatilia maoni ya Mwenyekiti wa kikao
hicho ambaye pia ni Kaimu Kamishna wa Fedha za Nje toka Wizara ya Fedha na
MipangoBw. Robert Mtengule katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano
wa ORPP jijini Dodoma.

Baadhi ya wajumbe wa kikao cha Mapitio ya Makadirio ya Bajeti ya Mwaka
2020/2021 ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) toka Wizara ya Fedha na
Mipango wakifuatilia maoni ya Mwenyekiti wa kikao hicho ambaye pia ni Kaimu
Kamishna wa Fedha za Nje toka Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Robert Mtengule
(hayupo pichani) katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ORPP
jijini Dodoma.