Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiandika maelezo yanayotolewa na Kamishna Msaidizi Omar Khamis Omar (kulia), wakati alipotembelea Shule ya Polisi Moshi Tanzania,mwishoni mwa wiki kufuatilia masuala mbalimbali katika shule hiyo inayofundisha fani tofauti zenye lengo la kuzuia na kupambana na uhalifu nchini. Kushoto ni Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Tunu Ng’ondya.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kamishna Msaidizi Omar Khamis Omar, akisoma taarifa ya maendeleo ya mafunzo mbalimbali yanayoendelea katika Shule ya Polisi Moshi Tanzania kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni wakati naibu waziri alipotembelea shule hiyo, mwishoni mwa wiki kufuatilia masuala mbalimbali katika shule hiyo inayofundisha fani tofauti zenye lengo la kuzuia na kupambana na uhalifu nchini.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi Salum Hamduni akizungumza wakati wa kikao cha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(kulia) na Uongozi wa Shule ya Polisi Moshi Tanzania, mwishoni mwa wiki ikiwa ni ziara yenye lengo la kufuatilia masuala mbalimbali katika shule hiyo inayofundisha fani tofauti zenye lengo la kuzuia na kupambana na uhalifu nchini.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi Salum Hamduni akizungumza wakati wa kikao cha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(kulia) na Uongozi wa Shule ya Polisi Moshi Tanzania,mwishoni mwa wiki ikiwa ni ziara yenye lengo la kufuatilia masuala mbalimbali katika shule hiyo inayofundisha fani tofauti zenye lengo la kuzuia na kupambana na uhalifu nchini.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Kamishna Msaidizi Omar Khamis Omar (kulia) na Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Tunu Ng’ondya wakati alipotembelea Shule ya Polisi Moshi Tanzania,mwishoni mwa wiki kufuatilia masuala mbalimbali katika shule hiyo inayofundisha fani tofauti zenye lengo la kuzuia na kupambana na uhalifu nchini.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi