Home Michezo COASTAL UNION YAITANDIKA 2-1 AZAM FC

COASTAL UNION YAITANDIKA 2-1 AZAM FC

0

Wachezaji wa Coastal Union wakimpongeza mwenzao, Ayoub Lyanga baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 37 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Coastal Union leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Bao la pili la Coastal Union limefungwa na Mudathir Said dakika ya 64, wakati bao pekee la Azam FC limefungwa na mshambuliaji wake Mzambia, Obrey Chirwa dakika ya 90