Home Mchanganyiko PIGIA KURA TANESCO ILI LIWEZE KUSHINDA KIPENGELE CHA BEST GOVERMENT PAGE OF...

PIGIA KURA TANESCO ILI LIWEZE KUSHINDA KIPENGELE CHA BEST GOVERMENT PAGE OF THE YEAR 2020

0

pigie kura Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuweza kushinda kipengele cha Best Government page of the year kwa mwaka 2020.

Chakufanya;

1. Fungua hiyo link utakutana na neno Vote chini kabisa ya ukurasa

2. Utakutana na Vipengele vitatu yani Award Category, Sub Category * na *Selection

3.Kwa upande wa Award Category chagua DIGITAL GOVERNANCE na chagua BEST GOVERNMENT PAGE OF THE YEAR kwenye kipengele cha Sub Category

4. Kwenye kipengele cha Selection chagua TANESCO

Hatua ya mwisho wameandika VOTE NOW ! Bonyeza hapo na utakua umefanikiwa kupiga kura yako. Asanteni sana na tunaomba ushirikiano wako!

https://www.digitalawards.co.tz