Home Siasa MKIWA KIMWANGA AJITOSA UENYEKITI WANAWAKE ACT WAZALENDO

MKIWA KIMWANGA AJITOSA UENYEKITI WANAWAKE ACT WAZALENDO

0

 AFISA
wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama Risasi Semasaba akimkabidhi fomu ya
kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Ngome ya Wanawake  ACT Wazalendo  Mkiwa
Kimwanga

  Mkiwa Kimwanga kushoto akijaza fomu kulia ni  Afisa wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama Risasi Semasaba

 Mkiwa Kimwanga kionyesha fomu zake za kwania nafasi hiyo
NA MWANDISHI WETU,
MKIWA  Kimwanga amechukua fomu za
uenyekiti wa wa Ngome ya Wanawake Taifa ya Chama cha ACT Wazalendo.
Mkiwa
ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Mkoa wa Mwanza amechukua fomu hizo mapema leo
ikiwa ni Mwanamke wa Tatu kuchukua kujitokeza kuwania nafasi.
Wengine
ambao wamekwisha kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo ni Janeth Rithe na Salma
Mwasa ambapo uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Pazia
la kuchukua na kurejesha fomu kwenye uchaguzi wa ACT Wazalendo unatarajiwa
kufanyika mwezi Machi Mwaka 2020 na litafungwa February 26 mwaka huu