Home Michezo YANGA YAIPAPASA RUVU SHOOTING,MORINGA ANAZIDI KUTUPIA TU

YANGA YAIPAPASA RUVU SHOOTING,MORINGA ANAZIDI KUTUPIA TU

0

****************************

NA EMMANUEL MBATILO

Klabu ya Yanga imeendeleza kushusha vipigo mfululizo kwenye ligi kuu Vodacom inayoendelea ambapo leo hii imefanikiwa kuinyuka Ruvu Shooting bao 1:0, bao lililofungwa na David Molinga mnamo dakika 40 akipokea krosi safi kutoka kwa Ditram Nchimbi.

Yanga ni kama imelipiza kisasi maana mechi ya mzunguko wa kwanza iliambulia kipigo cha goli 1:0.