Home Mchanganyiko RAIS MHE. DKT. MAGUFULI ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINI...

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINI ( LAW DAY) . FEBRUARI 06, 2020

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akihutubia  kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  Februari 6, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akipongezwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai baada ya hotuba yake kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 6, 2020 (kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai pamoja na Viongozi wengine wakipiga makofi wakati kwaya ya Mahakama ikitumbuiza  kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam  Februari 6, 2020

Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma
akizungumza mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  Februari 6, 2020

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job
Ndugai akizungumza mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  Februari 6,
2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa na, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Spika Job Ndugai ,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Agustine Mahiga , Jaji Mkuu wa Zanzibar Omary Othuman Makungu, Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer Fereshi na Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Mbarouk Salum Mbarouk, Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji
Francis Mutungi  katika picha ya pamoja na Viongozi wa Vyma vya Siasa kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 6, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa na, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Spika Job Ndugai ,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Agustine Mahiga , Jaji Mkuu wa Zanzibar Omary Othuman Makungu, Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer Fereshi na Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Mbarouk Salum Mbarouk  katika picha ya pamoja na Mabalozi wanao
ziwakilisha nchi mbalimbali hapa nchini kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 6, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiagana na Mkurugenzi wa Mashitaka nchini Biswalo Mganga kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 6, 2020.

PICHA NA IKULU

Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma (mbele kushoto) akiwa na Mjaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania tayari kwa ukaguzi wa Gwaride katika hitimisho la Maadhimisho ya Wiki ya Sheria, hafla ambayo ilifanyika leo Februari 6, 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.

Askari wa Jeshi wa Polisi wakiwasili uwanjani tayari kwa Gwaride la kuhitimisha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.

Bendi ya Jeshi la Polisi ikiingia uwanjani tayari kwa ukaguzi wa gwaride uliofanywa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, katika hitimisho la Maadhimisho ya Wiki ya Sheria, hafla ambayo ilifanyika leo Februari 6, 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.

Askari wa Jeshi wa Polisi wakiwa uwanjani tayari kwa Gwaride la kuhitimisha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, gwaride hilo lilikaguliwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma.

Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, akiwa tayari kukagua gwaride katika hitimisho la Maadhimisho ya Wiki ya Sheria, hafla ambayo ilifanyika leo Februari 6, 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.

Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, akikagua gwaride katika hitimisho la Maadhimisho ya Wiki ya Sheria, hafla ambayo ilifanyika leo Februari 6, 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.

Picha na Idara ya Habari-MAELEZO