Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akishuhudia Jaji Kiongozi akimuapisha akimuapisha Bi. Shamira S.
Sarwat kuwa Msajili wa Mahakama Kuu katika hafla iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Bi. Zena A. Saidi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati
katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Profesa Riziki S. Shemdoe kuwa Katibu Mkuu Wizara ya
Viwanda na Biashara katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Bw. Christopher Kadio kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Dkt. Hassan Abbas kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini
Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Bi. Mary G. Makondo kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini
Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Bw. Stephen Mashauri kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Ruvuma
katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Bw. Leonard R. Masanja kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Nishati katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari
3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Bw. Nathaniel M. Nhonge kuwa Kamishna wa Ardhi katika
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika hafla
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Bw. Wilbert M. Chuma kuwa Msajili Mkuu wa Mahakama katika
hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Bw. Kelvin Mhina kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani katika
hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Bw. Nathaniel M. Nhonge kuwa Kamishna wa Ardhi Wizara ya
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika hafla iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Jaji Dkt. Gerald Ndika kuwa Kamishna wa Tume ya Mahakama
ya Utumishi wa Mahakama katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Wakili Genoveva M. Kato kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi
wa Mahakama katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Wakili Julius K. Bundala kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi
wa Mahakama katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimpandisha cheo Brigedia jenerali Suleiman M. Mzee kuwa Kamishna
jenerali wa Magereza katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Brigedia jenerali Suleiman M. Mzee kuwa Kamishna jenerali wa Magereza katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimpandisha cheo DCP John Masunga kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha DCP John Masunga kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam Februari 3, 2020.