Home Mchanganyiko PICHA: SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA MABALOZI WASTAAFU BUNGENI JIJINI DODOMA

PICHA: SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA MABALOZI WASTAAFU BUNGENI JIJINI DODOMA

0

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Mabalozi wastaafu pale Mabalozi hao walipoingia katika ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kujifunza jinsi Bunge linavyofanya kazi zake.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiagana na Mabalozi mbalimbali wastaafu nje ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma. Mabalozi hao walitembelea Bunge kwa ajili ya kujifunza jinsi Bunge linavyofanya kazi zake

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa saba kushoto) katika picha ya pamoja na Mabalozi

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Balozi Mstaafu, Mhe. Matilda Buriani pale Mabalozi wastaafu walitembelea Bunge kwa ajili ya kujifunza jinsi Bunge linavyofanya kazi zake Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro.

Mabalozi mbalimbali wastaafu wakiwa katika ukumbi wa Bunge wakimsikiliza Spika Job Ndugai (hayupo kwenye picha) walipomtembelea leo Bungeni Jijini Dodoma. Pia walijifunza jinsi Bunge linavyofanya kazi zake.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)