Home Mchanganyiko MKUTANO WA KWANZA WA KAMATI YA MAWAZIRI WENYE DHAMANA YA MENEJIMENTI YA...

MKUTANO WA KWANZA WA KAMATI YA MAWAZIRI WENYE DHAMANA YA MENEJIMENTI YA MAAFA KWA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA MAENDELEO KUSINI MWA AFRIKA

0

Kaulimbiu ya Mkutano huu: “Kuwekeza kwenye Kupunguza madhara ya maafa ni njia bora ya kuimarisha ustahimilivu katika ukanda wa n chi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika” (SADC)