Home Mchanganyiko SPIKA WA BUNGE AZINDUA MPANGO WA LISHE BORA WILAYANI KONGWA

SPIKA WA BUNGE AZINDUA MPANGO WA LISHE BORA WILAYANI KONGWA

0

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai, akichangia jambo kwenye kikao kilichohudhuriwa na Wabunge wa Chama cha Wabunge Vinara wa Lishe kilicholenga kuboresha Lishe Bora Wilayani Kongwa kilichofanyika kwenye Ofisi ya Mkurugenzi wa Wilaya hiyo hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge) 

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akichangia jambo kwenye kikao kilichohudhuriwa na Wabunge wa Chama cha Wabunge Vinara wa Lishe kilicholenga kuboresha Lishe Bora Wilayani Kongwa kilichofanyika kwenye Ofisi ya Mkurugenzi wa Wilaya hiyo hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge) 

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Vinara wa Lishe Mheshimiwa Esther Matiko akichangia jambo kwenye kikao kilicholenga kuboresha Lishe Bora Wilayani Kongwa kilichofanyika kwenye Ofisi ya Mkurugenzi wa Wilaya hiyo hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)

Mjumbe wa Chama cha Wabunge Vinara wa Lishe Dkt Christine Ishengoma akichangia jambo kwenye kikao kilicholenga kuboresha Lishe Bora Wilayani Kongwa kilichofanyika kwenye Ofisi ya Mkurugenzi wa Wilaya hiyo hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)