Home Mchanganyiko WANACHUO KIKUU HURIA MKOANI SINGIDA WAJIPANGA KWA UFUGAJI NYUKI

WANACHUO KIKUU HURIA MKOANI SINGIDA WAJIPANGA KWA UFUGAJI NYUKI

0
 Rais wa Umoja wa Wafugaji Nyuki Nchini, Philemon Kiemi, akizungumza na viongozi wa serikali ya wanafunzi na Jumuiya ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania  tawi la Singida jana.
 Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria, tawi la Singida, Nassoro Matulanga, akizungumza muda mfupi kabla ya hafla ya kupokea msaada wa mizinga 10 ya kisasa ya kufugia nyuki kwa niaba ya serikali ya wanafunzi wa chuo hicho.
 Waziri wa Mipango na Fedha, Frederick  Ndahani akizungumza kwenye tukio hilo.
 Kaimu Mkurugenzi wa Kituo, Chuo Kikuu Huria, Tawi la Singida, Bernard Komba, akizungumza kwenye hafla hiyo.
 Mwonekano wa mizinga ya kisasa iliyotolewa na Syeccos kama msaada kwa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria, tawi la Singida.
 Washiriki wakifuatilia tukio hilo.
 Hafla ikiendelea.
Baadhi ya viongozi wa serikali ya wanafunzi wakifuatilia hotuba mbalimbali.

/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:”Table Normal”;
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
mso-style-qformat:yes;
mso-style-parent:””;
mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;
mso-para-margin-top:0in;
mso-para-margin-right:0in;
mso-para-margin-bottom:10.0pt;
mso-para-margin-left:0in;
line-height:115%;
mso-pagination:widow-orphan;
font-size:11.0pt;
font-family:”Calibri”,”sans-serif”;
mso-ascii-font-family:Calibri;
mso-ascii-theme-font:minor-latin;
mso-hansi-font-family:Calibri;
mso-hansi-theme-font:minor-latin;
mso-bidi-font-family:”Times New Roman”;
mso-bidi-theme-font:minor-bidi;}

 
Na Mwandishi Wetu, Singida

 

 

Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu Huria Tawi la Singida, imepokea msaada wa mizinga kumi ya kisasa ya kufugia nyuki, yenye thamani ya shilingi milioni mbili, ikiwa ni mwendelezo wa mkakati uliopo wa wanachuo hao nchini kote kuhakikisha wanaanza kubuni na kuibua miradi yenye tija, itakayosaidia kuinua kipato cha mtu mmoja-mmoja na taifa kuelekea uchumi wa kati