Home Biashara WAZIRI BASHUNGWA AKUTANA NA MKURUGENZI WA DHL NCHINI

WAZIRI BASHUNGWA AKUTANA NA MKURUGENZI WA DHL NCHINI

0

Mhe. Innocent Bashungwa Waziri wa viwanda na Biashara amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa DHL nchini Bw.Paul Elton Garikai Makolosi ili kujua mipango yao ya logistics na kuomba kusaidia biashara ndogo na kati kuuza bidhaa zao kwa njia ya mtandao duniani kote ambapo shipping anafanya DHL.

Aidha awamekubaliana akutane na TMEX, TANTRADE, TAHA ili washirikiane maandalizi ya mnada wa Chai kufanyika Dar kuanzia mwaka huu 2020.