Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akifurahia kwenye mazoezi ya klabu yake, Aston Villa viwanja vya Bodymoor Heath mjini Birmingham, England leo