Home Mchanganyiko MATUKIO KATIKA PICHA UPANUZI WA BARABARA YA MOROGORO KWA NJIA NANE KUANZIA...

MATUKIO KATIKA PICHA UPANUZI WA BARABARA YA MOROGORO KWA NJIA NANE KUANZIA KIMARA HADI KIBAHA WASHIKA KASI

0
DCIM100MEDIADJI_0003.JPG

Upanuzi wa Barabara ya Morogoro kwa njia nane kuanzia Kimara –Kibaha unaendelea kwa kasi kubwa kama inavyoonekana pichani katika maeneo ya Kimara, Mbezi na Kibamba hivyo kuanza kupunguza msongamano mkubwa wa magari katika barabara hiyo ya Morogoro. Picha na Ikulu