Home Burudani VODACOM TANZANIA Plc YAMZAWADIA SH.MILIONI MIA MOJA NA HAMSINI MSHINDI...

VODACOM TANZANIA Plc YAMZAWADIA SH.MILIONI MIA MOJA NA HAMSINI MSHINDI WA SHINDANO LA TUSUA MAPENE

0

Mkurugenzi wa kitengo cha dijitali na huduma za ziada Vodacom Tanzania Plc, Nguvu Kamando (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye  thamani ya shilingi 150,000,000/- mshindi wa shindano la TUSUA MAPENE na Vodacom , Eveneth Rutiyomba ambaye ni fundi cherehani  mkazi wa Kimara Bucha , hafla ya makabidhiano ilifanyika Kimara jijini Dar Es Salaam jana. Pichani katikati ni Afisa wa Huduma za Ziada Vodacom, Paulina Bisheko.

Mkurugenzi wa kitengo cha dijitali na huduma za ziada Vodacom Tanzania Plc, Nguvu Kamando (kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na mshindi wa shindano la TUSUA MAPENE, Eveneth Rutiyomba (kulia) pamoja na wazazi wake, John Ndebisa na Fasness Ndebisa