Home Mchanganyiko Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mhe. Job Ndugai,...

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mhe. Job Ndugai, aongoza Kikao cha Kamati ya Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA) kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania

0

Spika wa Bunge la Kenya na Mwenyekiti wa CPA Kanda ya Afrika, Mhe. Justine Muturi, akizungmza kwenye Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es
Salaam, Tanzania.

Mweka Hazina Msaidizi wa CPA, kwa kanda ya Afrika, Mhe. Elijah Okupa, akizungmza kwenye Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam,
Tanzania.

Mwakilishi wa CPA kutoka Afrika Mashariki(Kenya), Dkt.Makali Mulu, akizungmza kwenye Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam,
Tanzania.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, akizungumza kwenye Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam,
Tanzania.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, akiendesha Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, akifurahi jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Nabimia na Mwakilishi wa CPA Kanda ya Kusini,Mhe.Benard Sibalatani (Kulia) na Spika wa Bunge la Kenya na Mwenyekiti wa CPA Kanda ya Afrika, Mhe. Justine Muturi(kushoto), mara ya kuwakaribisha Katika Ofisi ndogo za Bunge zilizoko Jijini Dar es Salaam, kwenye
Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Nabimia na Mwakilishi wa CPA Kanda
ya Kusini, Mhe. Benard Sibalatani (Kulia) na Spika wa Bunge la Kenya na Mwenyekiti wa CPA Kanda ya Afrika, Mhe. Justine Muturi (kushoto), kabla ya Kikao
Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania.