Home Michezo MSUVA AFUNGA BAO DIFAA HASSAN EL-JADIDI IKITOA SARE YA 1-1 NA...

MSUVA AFUNGA BAO DIFAA HASSAN EL-JADIDI IKITOA SARE YA 1-1 NA RAPID OUED ZEM

0

Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva akishangilia baada ya kuifungia Difaa Hassan El-Jadida bao la kuongoza dakika ya sita katika sare ya 1-1 na Rapide Oued Zem ambayo bao lake lilifungwa na winga wa Mali, Abdoulaye Diarra kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Morocco, maarufu Botola Pro usiku wa jana Uwanja wa Ben Ahmed El Abdi mjini El Jadida, Mazghan.