Home Mchanganyiko KILIMO CHA KOROSHO SINGIDA,KUITANGAZA TANZANIA KIDUNIA –DKT NCHIMBI

KILIMO CHA KOROSHO SINGIDA,KUITANGAZA TANZANIA KIDUNIA –DKT NCHIMBI

0

Normal
0

false
false
false

EN-US
X-NONE
X-NONE

MicrosoftInternetExplorer4

/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:”Table Normal”;
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
mso-style-qformat:yes;
mso-style-parent:””;
mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;
mso-para-margin:0in;
mso-para-margin-bottom:.0001pt;
mso-pagination:widow-orphan;
font-size:11.0pt;
font-family:”Calibri”,”sans-serif”;
mso-ascii-font-family:Calibri;
mso-ascii-theme-font:minor-latin;
mso-fareast-font-family:”Times New Roman”;
mso-fareast-theme-font:minor-fareast;
mso-hansi-font-family:Calibri;
mso-hansi-theme-font:minor-latin;
mso-bidi-font-family:”Times New Roman”;
mso-bidi-theme-font:minor-bidi;}

Normal
0

false
false
false

EN-US
X-NONE
X-NONE

MicrosoftInternetExplorer4

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano,
Mhe.
Kassim Majaliwa Majaliwa akiangalia  mkorosho uliopandwa katika shamba la pamoja la koshoro la Masigati  Wilayani Manyoni alipotembelea shamba hilo hivi karibuni

 

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi (mwenye koti
jeusi)  akitoa maelezo ya shamba la
pamoja la  Korosho  la Masigati Manyoni  kwa kundi la wanachuo na wakufunzi  wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa waliotembelea
shamba hilo. Mwenye shati la kitenge ni Luteni Kanali RG Magemeson, Mshauri wa
Jeshi la Akiba  Mkoa wa Singida,
anayefuata ni Mkufunzi, Mheshimiwa Balozi Peter Kallaghe. Kushoto kwa Mkuu wa
Mkoa ni Brigadia Generali Liv Jian Mkufunzi wa chuo hicho

Normal
0

false
false
false

EN-US
X-NONE
X-NONE

MicrosoftInternetExplorer4

/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:”Table Normal”;
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
mso-style-qformat:yes;
mso-style-parent:””;
mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;
mso-para-margin:0in;
mso-para-margin-bottom:.0001pt;
mso-pagination:widow-orphan;
font-size:10.0pt;
font-family:”Calibri”,”sans-serif”;
mso-bidi-font-family:”Times New Roman”;}

Normal
0

false
false
false

EN-US
X-NONE
X-NONE

MicrosoftInternetExplorer4

Na John Mapepele

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi amesema  uanzishaji wa mpango wa kilimo cha pamoja (block farming) kwenye zaidi
ya ekari 12000 wa zao la korosho eneo la Masigati mkoani Singida umefanya eneo hili kuwa miongoni mwa kivutio kikubwa cha utalii wa
kilimo duniani utakaochangia katika uchumi wa wananchi na taifa kwa ujumla.
 

 

Akizungumza wakati wa kuwaaga wanachuo wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa waliotembelea mradi wa shamba la kilimo cha pamoja cha Korosho
Masigati wilayani Manyoni leo, Dkt Nchimbi alisema Mkoa wa Singida unaendelea kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi na kijamii kupitia
mkakati wa kuwainua wananchi wote baada ya kubuni kilimo cha pamoja ambapo alisema lengo ni kila mwananchi apate angalau ekari kuanzia tano.
 

 

“Katika kipindi hiki cha takribani miaka miwili tunashukuru Mungu kuwa tumeleta mabadiliko makubwa ya kitabia na kifikra kwa wananchi wetu kupitia mradi huu ambao wengi wao wameendelea kujiunga siku hadi siku na kufurahia utajiri ardhi yao” alisitiza Dkt Nchimbi
 

 

Alisema licha ya kupata ekari 12000 katika wilaya ya manyoni  pia wamepata ekari 500 katika eneo la Itigi  na Ekari 5.