Home Michezo YANGA YATOA MKATABA WA MWAKA MOJA NA MIEZI SITA KWA KOCHA MKUU...

YANGA YATOA MKATABA WA MWAKA MOJA NA MIEZI SITA KWA KOCHA MKUU NA MSAUZI

0

LUC Eymael Kocha Mkuuwa Yanga, raia wa Ubelgiji na Riedoh Berdien, Kocha wa viungo wameingia mkataba wa mwaka mmoja na miezi sita kuitumikia Yanga.

Eymael amejiunga na Yanga akichukua mikoba ya Mwinyi Zahera ambaye alitimuliwa ndani ya kikosi hicho kutokana na kuwa na matokeo mabovu ndani ya Yanga.

Leo, Mbelgiji huyo alianza kazi na kikosi chake hicho kinachojiaanda kumenyana na Kagera Sugar, Jumatano mchezo wa ligi.