Home Michezo REAL MADRID YAICHAPA VALENCIA 3-1 NA KUTINGA FAINALI SUPER CUP HISPANIA

REAL MADRID YAICHAPA VALENCIA 3-1 NA KUTINGA FAINALI SUPER CUP HISPANIA

0

Kiungo wa Real Madrid, Isco akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo bao la pili dakika ya 39 katika mchezo wa Nusu Fainali ya Super Cup ya Hispania katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Valencia usiku wa jana Uwanja wa King Abdullah Sports City Jijini Jeddah, Saudia Arabia. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Toni Kroos dakika ya 15 na Luka Modric dakika ya 65, wakati la Valencia lilifungwa na Dani Parejo kwa penalti dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI SOMA  HAPA