Home Mchanganyiko RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM AKITOKEA MAPUMZIKONI CHATO MKOANI...

RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM AKITOKEA MAPUMZIKONI CHATO MKOANI GEITA. JANUARI 09, 2020

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dart es salaam mara baada ya kuwasili akitokea mapumzikoni Chato mkoani Geita leo Alhamisi Januari
9, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam wakitokea mapumzikoni Chato mkoani Geita leo Alhamisi Januari 9, 2020. Picha na Ikulu.