Home Michezo MIGUISSONE AUNGANA NA WENZAKE MAZOEZI KUJIANDAA NA MECHI YA WATANI WA JADI

MIGUISSONE AUNGANA NA WENZAKE MAZOEZI KUJIANDAA NA MECHI YA WATANI WA JADI

0

********************************

NA EMMANUEL MBATILO

Mchezaji mpya wa klabu ya Simba Luis Miquissone ameungana na wenzake kwa mazoezi ya kujiandaa na mechi ya watani wa jadi utakaopigwa leo jioni jijini DAr es Salaam.

KIUNGO huyo wa zamani wa timu ya UD Songo, Luis Miquissone amemalizana na mabosi hao wa Simba rasmi hapo jana na kuungana moja kwa moja na wenzake.

Huu ni usajili wa kwanza kwa Simba msimu huu kwenye dirisha dogo.