Home Michezo MANAHODHA JOHN BOCCO NA JUMA ABDUL PAMOJA NA MAKOCHA WAO WATAMBIANA KUELEKEA...

MANAHODHA JOHN BOCCO NA JUMA ABDUL PAMOJA NA MAKOCHA WAO WATAMBIANA KUELEKEA MECHI YAO KESHO TAIFA

0

Manahodha John Bocco wa Simba SC (kushoto) na Juma Abdul wa Yanga (kulia) katika mkutano maalum na Waandishi wa Habari kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya watani hao wa jadi kuanzia Saa 11:45 jioni ya kesho Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam.

Kocha wa Simba, Mbelgiji Sven Ludwig Vandenbroeck (katikati) akizungumza jambo kwenye mkutano na Waandishi wa Habari leo. Kulia n kocha wa Yanga Charles Boniface Mkwasa

Sven Ludwig Vandenbroeck (kushoto) akiwa na Nahodha wake, John Bocco, Nahodha wa Yanga, Juma Abdul pamoja na kocha wa mahasimu wake, Charles Boniphace Mkwasa