Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Sunday Manara akitaja viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Yanga SC Jumamosi Uwanja wa Taifa Jijini. Wengine kulia ni Mtendaji Mkuu wa klabu, Senzo Mbatha na Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki, Hashim Mbaga na viingilio ni Sh. 30,000 VIP, Sh. 20,000 VIP B na C na Sh. 7000 kwa mzunguko
SIMBA SC WATANGAZA VIINGILIO VYA MECHI YAO DHIDI YANGA JUMAMOSI UWANJA WA TAIFA
By Alex Sonna
January 2, 2020 | 3:53 am

Related Stories
View all
Michezo
4 hours ago
UJERUMANI YAIFUMUA CURACAO KWA KIPIGO CHA 7-1 KOMBE LA DUNIA
Timu ya Taifa ya Ujerumani imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 7-1 dhidi ya Curacao katika mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la…
Michezo
7 hours ago
SIMBA SC YAENDELEZA MAKALI YAKE, YAICHAPA PAMBA JIJI 2-1
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Mabao…
