Kiungo Mjerumani, Mesut Ozil akimtoka Mcolombia, Jefferson Lerma kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Vitality mjini AFC Bournemouth. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, Dan Gosling akianza kuwafungia wenyeji, Bournemouth dakika ya 35 kabla ya Pierre-Emerick Aubameyang kuisawazishia Arsenal dakika ya 63 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
ARSENAL YABANWA MBAVU NA AFC BOURNEMOUTH EPL
By Alex Sonna
December 27, 2019 | 3:37 am

Related Stories
View all
Michezo
6 hours ago
SIMBA SC YAICHAPA YANGA 2-1, YAONGOZA LIGI KUU
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga SC, katika mchezo wa Ligi Kuu…
Michezo
2 days ago
OLBALBAL MWAMBA WA LUSAKA RHINO CUP
Mashindano ya Rhino Cup yamefikia tamati leo tarehe 8 oktoba, 2026 kwa timu ya kata ya Olbalbal kuicharaza bila huruma jumla ya Goli 3-2…
