Home Michezo KISA DIAMOND PLATNUM UWANJA WA SOKOINE WAFUNGIWA NA TFF

KISA DIAMOND PLATNUM UWANJA WA SOKOINE WAFUNGIWA NA TFF

0

MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Tanzania Prisons v Yanga uliopaswa uchezwe kesho uwanja wa Sokoine umezuiliwa kutumika na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB)