Home Michezo SIMBA SC YATINGA 16 BORA FA CUP YAICHAPA 6-0 FC ARUSHA

SIMBA SC YATINGA 16 BORA FA CUP YAICHAPA 6-0 FC ARUSHA

0

Simba SC imefanikiwa kuingia Hatua ya 16 Bora michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 6-0 dhidi ya FC Arusha jioni ya leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam.

Ushindi wa leo wa Simba  umetokana na mabao ya wachezaji Clatosu Chama,dk 18,Gerson Fraga dk 24 akimalizia asisiti ya Ibrahim Ajibu, dk ya 33 Deo Kanda asissti ya Ajibu, Ajibu dk ya 33 asisiti Chama, Medie Kagere dk ya 57 na Francis Kahata asisiti ya Kanda dakika ya 66.