Home Mchanganyiko PSC YAHAMISHA OFISI YAO

PSC YAHAMISHA OFISI YAO

0

************************************

Tunapenda kuwataarifu Wananchi na Wadau wote kuwa Ofisi ya Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) imehama kutoka Jengo la Ubungo Plaza, lililopo Barabara
ya Morogoro.

Ofisi mpya ya Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) iko katika Jengo la Luthuli
1, Ghorofa ya 3 na 4 lililokuwa linatumiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais, lililoko
Barabara ya Luthuli, Dar es Salaam.
KWA MAWASILIANO ZAIDI:-
Katibu,
Ofisi ya Rais,
Tume ya Utumishi wa Umma,
6 Mtaa wa Albert Luthuli, Ploti Namba 10
S.L.P. 9143,
DAR ES SALAAM
Simu:- +(255) 738 166 703
Nukushi:-
Barua Pepe:- [email protected]
Tovuti: www.psc.go.tz