Home Michezo ARSENAL YATINGA 32 BORA EUROPA LEAGUE,YATOA SARE 2-2 UGENINI

ARSENAL YATINGA 32 BORA EUROPA LEAGUE,YATOA SARE 2-2 UGENINI

0

Mshambuliaji Alexandre Lacazette (kulia) akifurahia na mwenzake, Bukayo Saka baada ya kuifungia tmu hiyo bao la kwanza dakika ya78  katika sare ya 2-2 na wenyeji, Standard Liege kwenye mchezo wa Kundi F UEFA Europa League. Bao la pili la Arsenal lilifungwa na Saka dakika ya 81, wakati ya Standard Liege yalifungwa na Samuel Bastien dakika ya 47 na Selim Amallah dakika ya 69 PICHA ZAIDI SOMA  HAPA