Home Michezo SIMBA SC YAMTAMBULISHA KOCHA VANDERBROECK KUMRITHI AUSSEMS

SIMBA SC YAMTAMBULISHA KOCHA VANDERBROECK KUMRITHI AUSSEMS

0

Klabu ya Simba imemtangaza Sven Vanderbroeck raia wa Ubelgiji kuwa kocha wao mpya.

Kocha huyo ameshawahi kuifundisha timu ya Taifa ya Zambia.

Mwaka 2017 Sven alishinda Ubingwa wa AFCON akiwa Kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Cameroon.