Kaimu Mwenyekiti wa Simba SC, Mwina Kaduguda akihutubia mamia ya wapenzi wa klabu hiyo waliojitokeza kuonyeshwa viwanja viwili vya mazoezi vya klabu hiyo, wa nyasi bandia na halisi eneo la Bunju mjini Dar es Salaam, zoezi ambalo lilihudhuriwa na wachezaji pia
Gwiji wa klabu, Abdallah Athumani Seif ‘King Kibadeni’ akihutubia katika sherehe hiyo