Home Mchanganyiko KAMISHNA WA OPERESHENI NA MAFUNZO YA JESHI LA POLISI, CP LIBERATUS SABAS,...

KAMISHNA WA OPERESHENI NA MAFUNZO YA JESHI LA POLISI, CP LIBERATUS SABAS, AMEFANYA ZIARA YA KIKAZI KATIKA VITUO VYA POLISI VYA NEWALA NA TANDAHIMBA NA BAADA YA HAPO AMEPATA NAFASI KUZUNGUMZA NA WANANCHI WA MAENEO HAYO

0

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas akipokelewa na maafisa na wakaguzi baada ya kuwasili katika kituo cha Polisi Newala mkoani Mtwara katika ziara yake ya siku moja ilikuwa na lengo la kuzungumza na Askari wa kituo hicho.

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas akizungumza na wananchi pamoja na wakazi wa Newala mkoani Mtwara katika ziara yake ya siku moja aliyoifanya maeneo hayo, lengo la ziara hiyo ilikuwa ni kuwashukuru wananchi kuwa ushirikiano wao wanaoutoa katika Vyombo vya Ulinzi na Usalam juu ya kukabiliana na uhalifu katika maeneo hayo.

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas akizungumza na wananchi pamoja na wakazi wa Tandahimba mkoani Mtwara katika ziara yake ya siku moja maeneo hayo, lengo la ziara hiyo ilikuwa ni kuwashukuru wananchi kuwa ushirikiano wao wanaoutoa katika Vyombo vya Ulinzi na Usalam juu ya kukabiliana na uhalifu katika maeneo hayo.

Picha na Jeshi