Home Uncategorized LIVERPOOL CHUPUCHUPU KULALA NYUMBANI LIGI YA MABINGWA ULAYA

LIVERPOOL CHUPUCHUPU KULALA NYUMBANI LIGI YA MABINGWA ULAYA

0

Dejan Lovren akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha Liverpool dakika ya 65 ikitoa sare ya 1-1 na Napoli iliyotangulia kwa bao la Dries Mertens dakika ya 21 usiku wa jana Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya. Kwa matokeo hayo, Liverpool inaendelea kuongoza kundi hilo kwa pointi zake 10, ikifuatiwa na Napoli pointi tisa, Salzburg saba na Genk yenye pointi moja inashika mkia PICHA ZAIDI SOMA  HAPA