Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. SHEIN AZUNGUMZA NA MWAKILISHI MKAAZI WA UNDP NCHINI...

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. SHEIN AZUNGUMZA NA MWAKILISHI MKAAZI WA UNDP NCHINI TANZANI IKULU JIJINI ZANZIBAR LEO.

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa (UNDP) Nchini Tanzania.Bi.Christine Musisi, wakitabasamu wakati wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika leo 25-11-2019, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa (UNDP) Nchini Tanzania Bi. Christine Musisi (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo,25-11-2019.(Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikabidhiwa Ripoti ya Hiyari ya Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu,(SDG’s) na Mwakilishi Mkaazi wa (UNDP) Nchini Tanzania.Bi.Christine Musisi, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo 25-11-2019.(Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi Mkaazi wa (UNDP) Nchini Tanzania.Bi.Christine Musisi, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo, 25-11-2019.(Picha na Ikulu).