Home Mchanganyiko WAZIRI MKUU ASHIRIKI KATIKA SALA YA IJUMAA KATIKA MSIKITI WA GADDAFI, JIJINI...

WAZIRI MKUU ASHIRIKI KATIKA SALA YA IJUMAA KATIKA MSIKITI WA GADDAFI, JIJINI DODOMA.

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya Sala ya Ijumaa, kwenye Msikiti wa Gaddafi, Jijini Dodoma, Novemba 22, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waumini wa Dini ya Kiislamu, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, makati  akizungumza baada ya Sala ya Ijumaa, kwenye Msikiti wa Gaddafi, Jijini Dodoma, Novemba 22, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu wa BAKWATA Mkoa wa Dodoma, Jafar Mwanyemba, mara baada ya Sala ya Ijumaa,  kwenye Msikiti wa Gaddafi, Jijini Dodoma, Novemba 22, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)