Home Mchanganyiko MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WAZEE WA CCM WA...

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WAZEE WA CCM WA WILAYA YA KUSINI UNGUJA

0

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman, alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi wakati wa hafla ya ziara yake kuzungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Kusini Unguja.

????????????????????????????????????
????????????????????????????????????

WAZEE wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kusini Unguja wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) wakati akizungumza na Wazee hao katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 20-11-2019.

KATIBU wa CCM Wilaya ya Kusini Unguja Ndg.Hafidh Hassan Mkadam akisoma risala ya Wazee wa CCM Wilaya ya Kusini Unguja wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 20-11-2019

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.MheDk.Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Risala ya Wazee wa CCM wa Wilaya ya Kusini Unguja na Katibu wa CCM wa Wilaya hiyo.Ndg.Hafidh Hassan Mkadam, wakati wa ziara yake kuzungumza na Wazee wa CCM Zanzibar mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo.20-11-2019.

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa zawadi ya kofia iliyotolewa na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Kusini Unguja wakati wa ziara yake kuzungumza na Wazee wa CCM Zanzibar mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo.20-11-2019.

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Kusini Unguja wakati wa ziara yake, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 20-11-2019.

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi akisisitiza jambo wakati wa mkutano na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Kusini Unguja wakati wa ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi.

Picha na Ikulu)