Home Siasa BUNGE LA VIJANA LAANZA HII LEO JIJINI DODOMA

BUNGE LA VIJANA LAANZA HII LEO JIJINI DODOMA

0

Waziri Mkuu katika Bunge la sita la Vijana Tanzania kwa mwaka 2019 Ndg. Alvin Maro akifafanua jambo kwenye kikao cha Bunge hilo lililozinduliwa rasmi hii leo kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la sita la Vijana Tanzania kwa mwaka 2019 Ndg. Ramadhan Singa akiendesha kikao cha Bunge hilo lililozinduliwa rasmi hii leo kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.

Wabunge wa Bunge la sita la Vijana Tanzania kwa mwaka 2019 wakiwa katika Mjadala wa Bunge hilo lililozinduliwa rasmi hii leo kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.

(Picha na Ofisi ya Bunge