Home Michezo Kampuni ya Bia Serengeti kuendelea Kudhamini Michezo Nchini

Kampuni ya Bia Serengeti kuendelea Kudhamini Michezo Nchini

0

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mark Ocitti (kushoto), akipokea tuzo ya udhamini wa mashindano ya gofu ya Waitara trophy 2019 kutoka kwa mwenyekiti wa klabu ya gofu Lugalo, Brigedia Generali mstaafu, Michael Luwongo (kulia) katika hafla ya chakula cha jioni iliyofanyika jijini Dar es Salaam jumamosi.

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamin Sitta  akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mark Ocitti kwa kampuni ya hiyo kudhamini mashindano ya Gofu ya Waitara trophy 2019

Mgeni rasmi Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamin Sitta akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza mashindano ya Gofu ya Waitara trophy 2019, Samuel Kileo aliyeshinda kwa NET 64

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mark Ocitti akizungumza na wageni waalikwa kwenye hafla ya chakula jioni iliyoambatana na  kutoa zawadi kwa washindi wa mashindano ya Gofu ya Waitara trophy 2019.

Wageni waalikwa waliohudhuria kwenye hafla ya chakula cha jioni